Friday, May 1, 2020

Kwa wale wanaosumbuliwa na matatizo ya kifua
Kifua cha kubana
Kifua kikavu
Kifua kilaini
Kifua cha pumu
Mafindo findo
Alaje ya vumbi au feni kama unavuka sigara pia
Kwa mawasiliano piga
0712093344
0692950700

Thursday, January 9, 2020

JINSI YA KUJITIBU FANGASI SEHEMU ZA SIRI KWA HARAKA

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI/ SEHEMU ZA SIRI

(VAGINAL THRUSH)
Ndugu zangu naomba nielezee kuhusu mwanamke na uke,kwa maana ya
UKE ni kiungo cha uzazi wa mwanamke, ambamo ndani yake kuna Lactobacillus bacteria na fangasi wazuri abao wako katika kiwango kinacho lingana/a balanced mix. Bacteria hawa na fangasi hizi husaidia sana kuulinda uke na maradhi mbalimbali endapo uwiano wake hauta bughuziwa. LActobacillus bakteria hutoa acid ambazo huzuia fangasi kukuwa au kuwa wengi zaidi.

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI ni ugonjwa anaoupata mwanamke endapo fangasi watakuwa wengi zaidi ya bacteria wazuri waliopo ukeni au kama pH ya ukeni imezidi kiwango cha kawaida kinachopaswa(pH 3.5-4.5 ndio kiwango kizuri kiafya).

FANGASI ZA UKENI MARA NYINGI HUSABABISHWA NA FANGASI WAITWAO CANDIDA ALBICANS, LAKINI WAKATI MWINGINE NI AINA NYINGINE ZA FANGASI NA HIZI NI VIGUMU SANA KUTIBIKA
VITU VINAVYOWEZA KUSABABISHA UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI
kunasababu nyingi sana baadhi ya hizo ni;

1.MATATIZO YA HOMONI(HOMONI ZA KUBADILIKA/KUWANYINGI SANA AU KUSHUKA SANA) hii inaweza kusahabishwa na; ukomo wa hedhi,ujauzito, (MP)kuwa katika siku za mwezi, matumizi ya dawa za kuongeza kiwango cha hormon za kike
2. MATUMIZI YA ANTIBIOTICS hizi huuwa bacteria wazuri na kubadiri ph ya uke
3.KUFANYA MAPENZI NA MTU ALIYE NA UGONJWA WA FANGASI ZA SEHEMU ZA SIRI BILA KINGA
4.KUSHUKA KWA KINGA YA MWILI hii inaweza kusababishwa na magonjwa mbalimbali kama UKIMWI, KISUKARI, UPUNGUFU WA MADINI,VITAMINI NA VIRUTUBISHI MBALIMBALI VYA MWILI.
5.ULAJI MBAYA HASA KUPENDELEA VYAKULA VYENYE SUKARI KWA WINGI (SUKARI NI CHAKULA KWA FANGAS HIVYO HUONGEZEKA).
6.KUKOSA USINGIZI NA MSONGO WA MAWAZO .
DALILI ZINAZOONESHA KUWA UNAUGONJWA WA FANGAS ZA UKENI
Kuna dalili nyingi sana kama zifuatavyo;
~MUWASHO SEHEMU ZA SIRI
~VIPELE VIDOGO VIDOGO UKENI
~KUTOKWA UCHAFU MWEUPE AU WA RANGI YA KIJIVU UKENI WENYE HARUFU MBAYA
~VIDONDA AU MICHUBUKO UKENI
~KUYOKWA NA HARUFU MBAYA UKENI
~KUPATWA NA MAUMIVU MAKALI WAKATI WA TENDO LA NDOA
~KUVIMBA NA KUWA MWEKUNDU KATIKA MDOMO WA NJE WA UKE
~KUWAKA MOTO NDANI NA NJE YA UKE
KINGA YA FANGASI ZA KIKE

1.EPUKA KUSAFISHA UKE KWA KUTUMIA VITU VYENYE KEMIKALI KAMA SABUNI
2.EPUKA KUTUMIA MARASHI YENYE CHEMIKALI UKENI NA KUONGIZA VITU MBΓ€LIMBALI UKENI KAMA VIDOLE, ASALI, MGAGANI N.K
3.EPUKA KUTAWADHA KUTOKEA NYUMA KWENDA MBELE BAADA YA KUJISAIDIA HAJA KUBWA AU NDOGO
4.MTIBU MPENZI WAKO ALIE NA UGONJWA WA FANGASI
5.SAFISHA UKE NA KUJIFUTA KWA KITAMBAA SAFI ILIKUUACHA MKAVU
6.HAKIKISHA KINGA YA MWILI WAKO IKO JUU
7.VAA CHUPI ZITENGENEZAVYO KWA VITU HARISI KAMA PAMBA NA HARIRI
8.EPUKA ULAJI MBAYA WA CHAKULA HASA PUNGUZA VYAKULA VYENYE KUKUPAYIA SUKARI KWA WINGI MWILINI
9.TUMIA PADS ZISIZO NA KEMIKALI NA ZENYE VITU VYA KUKULINDA NA MAAMBUKIZI,KUKUFANYA UWE MKAVU NA HURU KAMA BF SUMA SANITARY PADS
MATIBABU
UGONJWA HUU HUTIBIWA KWA VITU VIFUATAVYO
~KWA TIBA ASILI -ITAKUTIBU FANGAS,U.T.I SUGU ILE AMBAYO BAKTERIA WAKE WA U.T.I WAPO KWENYE FIGO(REFINED YUNZHI). 

 PIA ITASAIDIA WANAWAKE WENYE MATATIZO YA KUTOKUPATA HEDHI AU MATATIZO YOYOTE YA HEDHI,MWANAMKE AMBAYE HASHIKI UJAUZITO,CANCER,KUONGEZA KINGA ZA MWILI, WANAWAKE WENYE MAUVIMBE(FIBROS) YAANI  DAWA HII ASILI NI KIBOKO  HII KIBOKO. DADA ESTAR ALIKUWA HANA UWEZO WA KUSHIKA MIMBA BAADA YA KUTUMIA DAWA HII KIBOKO YA UGUMBA ALIPATA MTOTO MPAKA SASA MTOTO WAKE ANA UMRI WA MWAKA MMOJA ACHA KUCHELEWA  WAHI MAPEMAA = BEI  NI SH 200000/= KWA DOZI NZIMA LEO TUNATOA OFA KWA WATEJA WETU 20 WA KWANZA KWANZA KWA NUSU YA PUNGUZO LA BEI 100000


N:B NI MUHIMU KUTUMIA DAWA ZA ASILI ZA VIRUTUBISHO NA KUACHA ZENYE KEMIKALI WAKATI WA KUTIBU FANGASI ZA UKENI.
KWA MAELEZO ZAIDI,
MAONI NA USHAURI
0712093344 TUMA SMS AU PIGA
0692950700
MATIBABU YA FANGASI SUGU NA ZA KAWAIDA KWA KUTUMIA DAWA ZA ASILI


maulidnuhu@gmail.com

Wednesday, December 18, 2019

AJIRA AJIRA AJIRA AJIRA. πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’πŸ“’☎️πŸ“’
MASAWI GROUP WATOA FURSA ZA KAZI KWA VIJANA WA KITANZANIA
JINSIA ZOTE .UMRI 18-29
TENGENENEZA PESA KWA SIKU SH 30,000 /=SAWA NA 900,000 KWA MWEZI
NAFASI ZILIZOPO
1.UWAKALA
2.USAMBAZAJI
3.USIMAMIZI
4.MASOKO
5.USAFI MAOFISINI
6.SECRETARY NAFASI 5
7.UMENEJA NAFASI. 5
8.STORE KEEPERS 5
VIGEZO
1.AFYA NJEMA
2.UNA UCHUNGU WA MAISHA
3.UWE MTANZANIA
4.UWE NA MALENGO
5.BIDII KAZINI
6.UWE MBUNIFU
7.UWE TAYARI KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE
8.ELIMU NGAZI ZOTE HATUANGALII VYETI TUNAHITAJI UZOEFU WA KAZI
TWENDE TUKAIJENGE TANZANIA YA VIWANDA .MASAWI GROUP NI MAHALI PATAKAPO TIMIZA NDOTO ZAKO
KUNA NAFASI ZA HOSTELI KWA WALE WATOKAO MBALI MKOANI
MAHALI TULIPO NI DAR ES SALAMU MBEZI BEACH GOIGI
MAWASILIANO
CALL 0713686181
CALL 0692950700 AU SMS
TUMAMA NENO NAHITAJI KAZI .
MAFANIKIO YANAKUJA KWA KUZIFUATA FRUSA KAMATA FRUSA TWENDE ZETU.

Tuesday, December 17, 2019

0ndoa kitambi kuanzia kilo tatu bila mazoezi ndani ya siku 7 tu

njoo WhatsApp kwa maelezo zaidi
07112093344
barua Pepe maulidnuhu@gmail.com











o

ondoa kitambi chenye uzito wa kilo tatu  hadi tano bill mazoezi ndani ya sikh saba tu .

je wewe ni mtu ambaye unasumbuliwa na tatizo la manya uzembe ?

je wewe ni mtu anaye hitaji kupunguza uzito na upo maofisini pengine huna muda kutosha kupiga mazoezi na unahitaji kupunguza kitambi?zipo njia atu nitkufundisha ili kuondoa kitambi fuata maelekezo Kabila halo chini 


ondoa kitambi punguza mafuta

safisha tumbo ondoa uzito haraka Sasa suluhisho limepatikana njooo 
WhatsApp kwa maelezo zaidi 0712093344 au tuna neon nahitaji kuondoa kitambi kwenda mamba 
 0692950700 au Andika barua Pepe maulidnuhu @gmail .com Kisha njooo haraka ipo njia haraka zaidi nitakufundisha ni jinsi gani unaweza kuondoa kitambi bila kuathiri shughuli zako .

Saturday, December 7, 2019

AJIRA AJIRA MALIZA MWAKA UKIWA NA KAZI

AJIRA AJIRA AJIRA AJIRA

KWA VIJANA WAKITANZANIA
🎀🎀🎀🎀🎀
MASAWI GROUP WANATOA NAFASI ZA KAZI KWA VIJANA JINSIA ZOTE.
TENGENEZA Tsh 25,000 /=πŸ’ΈπŸ’ΈKWA SIKU SAWA NA Tsh 750,000/= πŸ’΅πŸ’΅KWA MWEZI.MALIPO NI KILA SIKU.


NAFASI ZA KAZI ZILIZOPO
1.UWAKALA
2.USIMAMIZI
3.USAMBAZAJI
4.UTAFITI WA MASOKO
5.USAFI MAOFISIOFISNI
6.STORE KEEPERS
7.SECRETARY NAFASI 4


VIGEZO VINAVYO HITAJIKA


1.AFYA NJEMA
2UMRI 18/29
3.BIDII YA KAZI
4.UWE TAYARI
KUFANYA KAZI MKOA WOWOTE
5.UWE MTANZANIA
6.UWE NA NDOTO
7.ELIMU STD 7 HADI 4M6TU .
8.FORM YA MAOMBI YA KAZI NI SH 2000/Tsh


NB.HAKIKISHA UMELISOMA TANGAZO UMELIELEWA VIZURI .TANGAZO HILI LINAWAHUSU WAHITAJI WA KAZI TU .HIVYO KAMA WEWE SI MUHITAJI WA KAZI TAFADHALI USICHANGIE CHOCHOTE .SISI SIYO WABABAISHAJI NI WATU MAKINI ,TUNAHITAJI WATU MAKINI WANAO JITAMBUA NINI WANAHITAJI KATIKA MAISHA YAO NA WANAUCHUNGU NA MAISHA .TAFADHALI VIGEZO NA MASHARITI HUZINGATIWA.
TUPO DAR ES SALAM MBEZI BEACH GOIGI NJIA YA KWENDA GOBA UNAPITA MASANA HOSPITALI UNAKUJA MPAKA MOUNT KIBO SHULE GETI LA KWANZA KARIBU NA BAR KWASENGA KULIA KUNA NJIA YA VUMBI MTAA UPO PEKEYAKE GETI LA KWANZA KUSHOTO JEKUNDU LA PILI JEKUNDU LATATU GET
JEUSI UKIFIKA HAPO GONGA UTATUKUTA .



KUNA NAFASI ZA HOSTELI KWA WATOKAO MBALI HAKUNA GARAMA YOYOTE NI BURE HOSTELI 🏘🏚🏚🏚

CALL call /call /call πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
0692950700 call / text

0713686181 call/text whatpp
Au tuma neno nahitaji kazi kwenda 0692950700: au Piga 0713686181 au email #masawigroup200@gmail.com#
Website # masawigroup.blogspot.com#
utajibiwa haraka sana karibu sana .
Hatuhitaji usumbufu uwe muhitaji kweli
Vigezo na mashariti huzingatiwa .
— pamoja na Abuu Hamisiy na Becka Msafi Jr. katika Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Tuesday, December 3, 2019

MAFANIKIO YA KIJANA YALIPO

Habari za leo tena ndg zangu wapendwa nawasalimia kwa upendo kabisa kutoka kwa kwangu na hii ni baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu sana , leo nimejitokeza kwenu tena nataka tuzungumuzie kuhusu vijana na maendeleo yao wafanye nini ili kufika katika malengo yao au wapite njia gani ambazo zitawafanya wafanikiwe kimaisha .

zipo njia nyingi za kufanikiwa hapa tutaeleza chache tuu, kabla hatuja anza kuzitaja tuanze kumzungumzia kwanza kijana 

kijana ni nani ?
kijana ni umri kuanzia miaka 18: hadi miaka 40 hapa kimo cha chini cha ujana ila hapa naongelea vijana kuanzia umri miaka 18/30 hawa ndiyo nguvu kazi ya taifa ambao wakajitumbua na wakawa wana malengo mazuri watafanikiwa kwa haraka .

 Maendeo ni nini ?
maendeo ni hali ya mtu kutimiza jambo flani ambalo alilipanga likatimia hayo ndiyo mandeleo mfano kifedha ujenzi kusoma nk 
 hizi ni njia ambazo kijana anaweza akapita katika kutimiza malengo yako 
1.jitambue kwanza ,anza kujitambua kuwa ni nani umetoka wapi upo wapi na unaenda wapi kujitambua ni jambo la kujitafakari na kuanza kujisoma au kujitathimini wewe mwenyewe 

2.Tambua kusudi lako.
 ,hapa tunazungumuzia unapenda nini unapenda kuwa nani na kwa sasababu gani hapa unatakiwa kuishi kama samaki ndani ya maji ukiishi nje na kusudi lako ni sawa na dereva bila macho 
 3.Jifunze kwa watu walio fanikiwa .

hapa unaanza kujifunza kwa mifano walio fanikiwa wametumia njia gani kufikia mafanikio yao 
4.Usichague kazi ya kufanya ili mradi kazi hiyo kama ni halali na inakuingizia kipato na hicho kipato ndicho kitakacho kufanya utimize malengo yako jitoe usichague kazi

5.Chagua marafiki 
vijana wengi wameingia katika matatizo hata kupoteza dira ya maisha yao sababu ya marafiki wenye mvuto potofu kama kuwa mateja waizi ,malaya, nk
zipo njia nyingi sana ili kuendelea kujifunza endendelea kufatilia nakala zetu emal maulidnuhu@gmail.com
masawigroup.blogspot.com whatp no 0712093344./0692950700call/sms kuhusu ajira nitafute